Sunday, December 29, 2013

MILLING MACHINE A.K.A LUALA


Hili ni jiwe linalotumika kusagia nafaka kama mtama, uwele n.k. Jiwe kubwa linaitwa Luala na dogo linaitwa Nsio. Jiwe hili lilinolewa kwa kubonda na jiwe gumu kutoka mtoni linaloitwa Nkomanga.

No comments:

Post a Comment